Thursday, 4 January 2018

POLISI MBEYA WAMUHOJI SUGU NA VIGOGO WENGINE WA CHADEMA

Image result for sugu mbunge

Jeshi la Polisi mkoani mbeya limewahoji Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi (Sugu) pamoja na Katibu wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga.


Taarifa liyotolewa na Chadema kanda  hiyo imebainisha kuwa kuhojiwa kwa viongozi hao kunatokana na maneno ya “uchochezi” wanayodaiwa kuyatoa katika mkutano wa hadhara wa mbunge huyo uliofanyika Disemba 30 mwaka jana.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment