Thursday, 4 January 2018

KINGUNGE AFIWA NA MKEWE


Mke wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Taarifa za kifo cha mama huyo zimethibitishwa na mtoto wa Kingunge, Kinje Ngombale.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment