Sunday, 3 December 2017

OFISI YA BUNGE HAIJAPOKEA BARUA YA MTULIA

Image result for maulid mtulia

Ofisi ya Bunge imesema haijapokea barua kutoka kwa aliyekuwa mbunge wa Kinondoni (CUF), Maulid Mtulia aliyetangaza kujiuzulu wadhifa huo.

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema hawajapokea barua ya Mtulia ambaye taarifa ya kujiuzulu kwake aliitoa kwa vyombo vya habari jana Jumamosi Desemba 2,2017 saa mbili usiku

Reactions:

0 comments:

Post a Comment