Monday, 18 December 2017

MVUA KUBWA YANYESHA JIJINI MWANZA HII LEOMvua kubwa iliyonyesha kwa robo saa jijini Mwanza imezua taharuki na kuwaacha hasara wafanyabiashara baada ya bidhaa zao kusombwa na maji.

Wakati baadhi ya wafanyabisahara wakishangaa maji yalipotokea ikilinganishwa na muda iliyonyesha mvua hiyo, watembea kwa miguu, hasa eneo la Makoroboi wamekumbana na kero ya kukwepa madimbwi ya maji.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment