Saturday, 9 December 2017

MAGUFULI AWAACHIA HURU BABU SEYA NA MWANAE PAPII KOCHA

Image result for BABU SEYA

Rais John Magufuli leo Jumamosi ametoa msamaha mwanamuziki Nguza Viking pamoja mtoto wake wake Papi Kocha waliokuwa wakitumikia kifungo cha maisha kwa makosa ya kuwanajisi watoto.


Rais Magufuli ametoa msamaha huo wakati akihutubia maadhimisho ya shehere za Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika mjini Dodoma leo.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment