Sunday, 19 November 2017

NCHEMBA KUTIKISA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA KIMALA WILAYANI KILOLO

Image result for mwigulu nchemba kimara

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Njemba leo mchana atasimama katika jukwaa la Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Kimala, wilayani Kilolo mkoani Iringa kama Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho kumnadi mgombea udiwani wa kata hiyo, Amoni Kikoti.


Pamoja na kumnadi mgombea huyo, Nchemba atatumia pia jukwaa hilo kufafanua utekelezaji wa Ilani ya CCM katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment