Tuesday, 14 November 2017

BILIONEA WA NYUMBA ZA LUGUMI ATOKA POLISI, ASISITIZA AZMA YA KUZINUNUA

Image result for Dk Louis Shika

BILIONEA wa nyumba za Lugumi, Dk Louis Shika ameachiwa na kwenda kupanda daladala kuelekea nyumbani huku akisema mpango wake wa kununua nyumba za Lugumi uko palepale.

Baada ya kuachiwa na polisi leo Jumanne jioni amesema kwamba bado mpango wake wa kununua nyumba hizo uko palepale.

Amesema anachosubiri sasa ni fedha kuingizwa kwenye akaunti yake na kulipa asilimia 25 anayodaiwa.


“Siku nikipeleka fedha nataka Yono na TRA waite waandishi wa habari waone na wautangazie umma,” amesema.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment