Thursday, 12 October 2017

MLIMA KILIMANJARO WASHINDA TUZO KUBWA BARANI AFRIKA

Image result for tuzo ya mlima kilimanjaro

MLIMA Kilimanjaro umeshinda tuzo kubwa barani Afrika kwa kuwa kivutio bora Afrika 2017, tuzo ambayo hutolewa kila mwaka na World Travel.

Tuzo hii ni ya tatu kwa Mlima Kilimanjaro baada ya kushinda mwaka 2015 na 2016. Mbali na miaka hiyo Mlima huo ulitwa tuzo hiyo mwaka 2013.


Katika tuzo ya mwaka huu, Mlima Kilimanjaro umevishinda vivutio vingine ikiwemo Ngorongoro Crater, Pyramids of Giza ya Misri, Kisiwa cha Robben, Table Mountain na V&A Waterfront ya Afrika Kusini.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment