Monday, 9 October 2017

12 WAHOFIWA KUFA AJALINI ZIWA VICTORIA

Idadi ya watu waliokufa baada ya Toyota Hiace kuzama Ziwa Victoria imeongezeka na kufikia 12.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema hayo leo muda mfupi baada ya kutokea kwa ajali hiyo.

 Amesema katika ajali hiyo ni watu watatu wameokolewa wakiwa hai.


Msangi amesema walionusurika wameokolewa na wananchi ambao ni wataalamu wa kuogelea.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment