Thursday, 7 September 2017

RIPOTI YA TANZANITE YAKABIDHIWA IKULU MUDA HUU

Image result for Ikulu

Viongozi mbalimbali wa Serikali wako Ikulu asubuhi hii kushuhudia ukabidhiwaji wa ripoti hiyo akiwamo Waziri Mkuu Kasim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai na mawaziri wengine mbalimbali.


Ripoti ya kamati hiyo iliyoundwa na Spika wa Bunge Ndugai, kuangalia mfumo wa uchimbaji udhibiti ,usimamizi na umiliki wa madini hayo ya vito.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment