Friday, 1 September 2017

MAHAKAMA KENYA YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS


Mahakama ya juu zaidi nchini Kenya imetengua matokeo ya uchaguzi wa raisi hivyo uchaguzi utarudiwa tena ndani ya siku 60 kwa mujibu wa katiba

1.Uchaguzi haukufanyika kwa taratibu zote zilizotakiwa kulingana na Katiba
2. Utaratibu haukufuatwa katika usafirishaji wa matokeo
3. Kulikuwa na kasoro kadhaa za uchaguzi

Reactions:

0 comments:

Post a Comment