Tuesday, 5 September 2017

HASHIM RUNGWE ASHIKILIWA NA POLISI

Image result for Hashim Rungwe

ALIYEKUWA mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Hashim Rungwe anashikiliwa na polisi kwa siku nne sasa.

Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Chaumma anashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.

Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo, Lazaro Mambosasa amesema mwanasiasa huyo anashikiliwa kwa kosa la kughushi nyaraka.Reactions:

0 comments:

Post a Comment