Tuesday, 29 August 2017

MSAFARA WA MKUU WA WILAYA WASHAMBULIWA

Image result for Godfrey Mheluka

Msafara wa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Godfrey Mheluka uliokuwa katika operesheni ya kuwaondoa watu wanaodaiwa kuvamia maeneo ya wafugaji katika Kijiji cha Kashanda, Kata ya Nyakahanga, umeshambuliwa na watu wasiojulikana.


Katika shambulizi hilo lililotokea leo Agosti 29 saa tano asubuhi, diwani wa Nyakahanga, Charles Bechumila amejeruhiwa na amepelekwa katika Hospitali Teule ya Nyakahanga.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment