Monday, 10 July 2017

WALIOTIMULIWA KAZINI KWA VYETI FEKI KUTOLIPWA MAFAO YAO

Image result for angela kairuki

SERIKALI imesema watu wote waliondolewa kazini baada ya kubainika kutumia vyeti feki vya taaluma hawatalipwa mafao yao.

Pamoja na kutolipwa mafao hayo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki amesema leo jijini Dar es Salaam kwamba watu hao watachukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuisababishia serikali hasara.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment