Friday, 14 July 2017

MOSHI WAUNDA VIKUNDI VYA ULINZI KUDHIBITI MACHANGUDOA

Image result for MACHANGUDOA WA MJINI MOSHI

WANANCHI wa Kata ya Mawenzi, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelazimika kuunda vikundi vya ulinzi katika mitaa yao nyakati za usiku kwa lengo la kutokomeza biashara ya uchanguduo na uhalifu uliokithiri katika kata hiyo.


Hayo yamebainishwa na wananchi hao katika mkutano uliotishwa na diwani wa kata hiyo, Hawa Mushi, kwa lengo la kujadili changamoto zinazowakabili katika maeneo yao na kutoa maazimio.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment