Sunday, 9 July 2017

MKAPA AWASILI WILAYANI KWA MAGUFULI

Image result for mkapa

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, amewasili wilayani Chato kwa ajili ya kukabidhi nyumba 50 za watumishi wa afya wilayani humo.

Makabidhiano hayo yanafanyika leo (Jumapili) kwa niaba ya mikoa mingine mitatu ambayo pia imejengewa nyumba hizo na Taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment