Thursday, 6 July 2017

MAKAMU WA RAIS ATAKA WAJASIRIAMALI WADOGO WAPEWE MIKOPO

Image result for makamu wa rais SABASABA

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za kifedha kutoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ili waendeleze biashara zao sambamba na kuziboresha.


Akizungumza na waandishi wa habari leo (Alhamisi, Julai 6) mara baada ya kutembelea mabanda ya wajasiriamali, Samia amesema bidhaa zinazozalishwa hapa nchini zimeboreshwa ukilinganisha na ilivyokuwa miaka ya nyuma

Reactions:

0 comments:

Post a Comment