Friday, 14 July 2017

KIZIMBANI KWA KUTAKA KUMUUZA MTOTO WAKE

Image result for jimbo la oyo

MZAZI mmoja wa kiume amefikishwa mahakamani kwa tuhuma ya kutaka kumuuza mtoto wake ili fedha atakazopata atumie kulipa gharama ya maziko ya mkewe.

Alifikishwa katika mahakama ya Oyo jimbo la Oyo Kusini, magharibi mwa Nigeria.


Baba huyo alikula njama ya kumuuza mtoto wake wa kiume wa miaka sita. Kadhia hiyo imeahirishwa hadi Agosti 31

Reactions:

0 comments:

Post a Comment