Tuesday, 6 June 2017

SIASA NDIVYO ILIVYO, ANNA MGHWIRA AULA

unnamed


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mghwira (Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia aligombea urais mwaka 2015 kupitia chama hicho) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam leo

unnamed

1

unnamed

1

1

Reactions:

0 comments:

Post a Comment