Friday, 30 June 2017

SERIKALI YATOA SIKU TANO WALIMU WAPEWE POSHO ZAO

Image result for kairuki

SERIKALI imetoa siku saba kwa halmashauri zote nchini kuhakikisha walimu wa hesabu, sayansi na wataalamu wa maabara waliopangiwa vituo hivi karibuni wanapewa posho za kujikimu.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Angella Kairuki alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi (Chadema).

Alisema halmashauri zote zilizopokea walimu hao zinapaswa kuwapa posho za kujikimu ndani ya siku saba.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment