Thursday, 8 June 2017

SABABU YA BIASHARA ZAIDI YA 7,000 KUFUNGWA NCHINI ZATAJWA

Tokeo la picha la Dk Mpango

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango amesema, zaidi ya biashara 7,277 zilifungwa hapa nchini kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ushindani mkubwa wa kibiashara.

Dk Mpango ameyasema hayo leo Alhamisi bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya mwaka 2017/18.


Amezitaja sababu za kufungwa kwa biashara hizo kuwa ni usimamizi dhaifu, kuongezeka kwa gharama za kusimamia biashara na kutozingatia masharti ya biashara.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment