Saturday, 10 June 2017

RITTA KABATI AWATAKA WATANZANIA KUJIPANGA KIVIWANDA


“SERIKALI ya Dk John Magufuli imedhamiria kuona rasilimali za nchi zinatumika kwa manufaa ya watanzania wote, tumuunge mkono Rais wetu na tujipange kuanzisha viwanda vidogo vidogo ili kufikia malengo ya nchi ya viwanda,” Ritta Kabati, Mbunge wa Viti Maalumu Irnga wakati wa uzinduzi wa Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi ya Taifa kwa vijana

Reactions:

0 comments:

Post a Comment