Monday, 5 June 2017

RAIS MAGUFULI APOKEA MSAADA WA KUWAIT


2

MAZU01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia malori mawili ya kuzolea taka baada ya kumaliza mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Ibrahim Al Najem alipofika kumtembelea na kukabidhi msaada wa magari hayo Ikulu jijini Dar es salaam  leo Juni 5, 2017

Reactions:

0 comments:

Post a Comment