Sunday, 18 June 2017

MWAKALEBELA AJITOSA URAIS TFFALIYEKUWA Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Frederick Mwakalebela amechukua fomu kuwania urais wa shirikisho hilo katika uchaguzi mkuu wake unaotarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu.


Mwakalebela amechukua fomu hiyo mapema hii leo katika ofisi za shirikisho hilo zilizopo Karume jijini Dar es Salaam.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment