Saturday, 10 June 2017

MKUU WA MKOA WA IRINGA AWAITA VIJANA


“Mafunzo haya ni tunu kwa vijana wetu waliopoteza matumaini, msiiache fursa hii itumie ipasavyo, itawasaidia kubadili maisha yenu,” Amina Masenza, Mkuu wa Mkoa wa Iringa wakati wa uzinduzi wa Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi ya Taifa kwa vijana, uliofanyika mjini Iringa

Reactions:

0 comments:

Post a Comment