Thursday, 1 June 2017

MFUMO WA ULIPAJI KODI KIELEKTRONIKI WAJA


RAIS Dk John Magufuli leo Alhamis anazindua mfumo mpya wa ulipaji kodi kwa njia ya kielektroniki.


Kwa kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), serikali imedhamiria kuutumia mfumo huo ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha inaweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara wote wa ndani na nje waweze kufanya biashara bila usumbufu na kulipa kodi stahiki kwa hiari .

Reactions:

0 comments:

Post a Comment