Saturday, 10 June 2017

MCHUNGAJI MSIGWA ATAKA WATANZANIA WAWE NA UJASIRI WA KUHOJI NA KUDADISI


Kwa jambo lolote la Maendeleo ni lazima tushirikiane kwa pamoja lakini ni lazima watu wajue kwamba watu hawanunui vitu ambavyo viko chini ya ubora wa wastani, kila tunachofanya lazima kiwe bora.


“Ombi langu kwa vijana kila kinachofanyika serikalini tohoji na kudadisi” Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa wakati wa uzinduzi wa Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi ya Taifa kwa vijana 


Reactions:

0 comments:

Post a Comment