Wednesday, 7 June 2017

MARAIS WASTAAFU WAONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA BALOZI SISCO MTIRO

1

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam

2

Reactions:

0 comments:

Post a Comment