Monday, 5 June 2017

MAANDALIZI YA MAZISHI YA NDESAMBURO YAPAMBA MOTO


NDESA3
Gari Maalum litakalochukuwa mwili wake

NDESA2
Baadhi ya wa vijana waendesha bodaboda wakijiandaa kwa ajili ya maandamano maalum wakati mwili wa marehemu utakapokuwa akipelekwa kwenye uwanja wa Majengo

NDESA4
Eneo la Uwanja wa Majengo ambalo ndipo shughuli za kuaga mwili zitafanyika likiwa limepambwa tayari kwa shughuli hizoReactions:

0 comments:

Post a Comment