Saturday, 17 June 2017

KIJAZI AFUNGA MAFUNZO YA SHERIA ZA ARDHI MJINI DODOMA


Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA, Allan Kijazi akifunga mafunzo ya siku tano juu ya Land Laws and Participatory Land Use Planning for Biodiversity Conservation yaliyoandaliwa na mradi wa SPANEST kwa kushirikiana na National Land Use Planning Commission, mjini Dodoma. Washiriki wa mafunzo hayo walitoka TANAPA, hifadhi zote za Kusini, TAWA, TFS na Maafisa wa Halmashauri 12 zilizopo katik maeneo ya mradi wa SPANEST katika mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Dodoma na Singida.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment