Saturday, 10 June 2017

DON BOSCO KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUWANYANYUA VIJANA


“Tutashirikiana na serikali kuwanyanyua vijana walio katika mazingira magumu ili nao waweze kutoa mchango wao kwa maendeleo ya nchi,” Padri Simoni Asira, Mkuu wa Shirika la Waselasiani wa Don Bosco wakati wa uzinduzi wa Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi ya Taifa kwa vijana


Reactions:

0 comments:

Post a Comment