Saturday, 10 June 2017

DK NORMAN SIGALLA AMPONGEZA MCHUNGAJI MSIGWA


“Tuliahidi na tunatekeleza, hata mdogo wangu Mchungaji Msigwa anaunga mkono juhudi za serikali zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano katika kuharakisha maendeleo kwa wananchi” Dk Norman Sigalla, Mbunge wa Makete wakati wa uzinduzi wa Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi ya Taifa kwa vijana

Reactions:

0 comments:

Post a Comment