Monday, 5 June 2017

CHUMI AKABIDHI MISAADA JIMBONI KWAKE

Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini, Cosato Chumi (mwenye kipaza sauti) akizungumza na wananachi wa Ihongole wakati wa hafla ya kukabidhi gari la kubeba wa wagonjwa kwa ajili ya kituo cha afya cha Ihongole

Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini, Cosato Chumi (wa pili kushoto) akikabidhi moja kati ya vitanda 35 vya juu na chini alivyotoa msaada katika shule ya sekondari ya Isalavanu kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wa jimbo hilo 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment