Wednesday, 7 June 2017

BAJETI YA SERIKALI KUWASILISHWA BUNGENI KESHO

Tokeo la picha la WAZIRI MPANGO

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango kesho Alhamisi, Juni 8, anatarajiwa kuwasilisha Bungeni Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018 inayokadiriwa kufikia Shilingi Trilioni 31 ikiwa ni ongezeko la asilimia 3.8 ikilinganishwa na bajeti iliyopo sasa.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment