Saturday, 10 June 2017

ANTONY MAVUNDE AWATIA MOYO VIJANA


“Vijana msikate tamaa, hatua mliyoanza ina maana kubwa sana katika maisha yenu ya sasa nay a baadaye, mnayo fursa ya kutengeneza mafanikio yenu ya baadaye mkiwa na dhamira hiyo,” Antony Mavunde Naibu Waziri wakati wa uzinduzi wa Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi ya Taifa kwa vijana, uliofanyika mjini Iringa

Reactions:

0 comments:

Post a Comment