Friday, 5 May 2017

MBUNGE CUF AONYA WANASIASA KUMINYA UHURU WA HABARI


Chama cha Waandishi wa habari za siasa(taporea) hapa nchi kimeendelea kuwataka waandishi wa habari na Wabunge kuendelea kupaza sauti zao pale Serikali inapokosea bila kujali hatua watakazochukuliwa.

Akizungumza katika maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani, ambayo kwa Dar es salaam yameandaliwa na Chama cha Wanahabari za siasa, mbunge wa viti maalum(CUF) Salma Mwassa amesema watawala wanafanya kila mbinu kuhakikisha uhuru wa vyombo vya habari nchini unadhibitiwa kwa maslahi yao wenyewe.


“sisi kamaa wawakilishi wa wananchi tutaendelea kuishauri Serikali ili itoe uhuru kama inavyotakiwa kwa mujibu wa sheria htuwezi kukubali kukaa kimya pale mambo yanapokwenda kombo”amesema Mwassa

Reactions:

0 comments:

Post a Comment