Sunday, 14 May 2017

MAUAJI MENGINE YATOKEA KIBITI

Tokeo la picha la Katibu Kata Kibiti apigwa risasi

WAKATI serikali ikijipanga kuanzisha Mkoa wa kipolisi katika wilaya ya Rufiji, Kibiti ,Mafia na Mkuranga ,katibu wa CCM kata ya Bungu ,wilaya ya Kibiti, Halife Mtulia amepigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana. 

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM wilayani Kibiti, Zena Mgaya, alisema marehemu ameuawa Mei 13 majira ya saa 4 usiku.Reactions:

0 comments:

Post a Comment