Monday, 15 May 2017

HANS POPE AREJEA SIMBA

Hans-Poppe

Zacharia Hans Poppe, amereja Simba.

Uamuzi wa Hans Poppe kurejea Simba umetokana na mkutano uliofanyika hadi saa 9 usiku wa kuamkia leo.

Hans Poppe amethibitisha kurejea kwake kundini baada ya mkutano huo na viongozi.

Hans Poppe aliamua kujiondoa katika kamati ya utendaji ya Simba na kwa kufanya hivyo akawa ametoka kwenye kamati ya usajili aliyokuwa mwenyekiti wake.


“Kweli tumekutana hadi saa 9 usiku, mwisho tumekubaliana na tumeyamaliza vizuri. Huu ni wakati wa kusonga mbele,” alisema Hans Poppe.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment