Wednesday, 15 March 2017

TRA WAPIGA MAKUFULI TFF

TFF HOME

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezifunga ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutokana na kudaiwa kwa muda mrefu deni kubwa la kodi.


Zoezi hilo limefanyika mchana wa leo chini ya Kampuni ya Udalali na Minada ya Yono, ambayo kwa sasa ndiyo inazishikilia ofisi hizo baada ua kuwatoa nje wafanyakazi wote wa TFF na kuwataka waache kila kitu ndani.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment