Thursday, 16 March 2017

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA IKULU MPYA, CHAMWINO DODOMARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisikiliza wakati  Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea na wafanyakazi wa TBA  wakati wakikagua matofali walipotembelea na  kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma leo Machi 16, 2017

Reactions:

0 comments:

Post a Comment