Sunday, 26 March 2017

NEY WA MITEGO ASHIKILIWA NA POLISI MOROGORO


Kutoka Morogoro asubuhi hii Msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego ambaye hivi karibuni ametoa wimbo mpya anaodai amezungumza ukweli wa moyo wake kwa kinachoendelea, amethibitisha kukamatwa na Polisi.


Nay ameandika kwenye Instagram yake “Nimekamatwa kweli muda huu nikiwa Hoteli Morogoro baada ya kumaliza kazi yangu iliyonileta, napelekwa Movemero Police, Nawapenda Watanzania wote #truth #Wapo”


Reactions:

0 comments:

Post a Comment