Friday, 17 March 2017

MSEMAJI WA JESHI LA POLISI UGANDA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI


17265153_1415891965141460_8481882079497354_n

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Uganda, Felix Kaweesi ameuawa leo kwa kupigwa risasi nje ya nyumba yake huko Kulambiro, Kisaasi Jijini Kampala.


Walinzi wake wawili pia wanadaiwa kuuawa katika tukio hilo. Kaweesi alikuwa anelekea Chuo Kikuu cha Kikristo cha Uganda kuhutubia wanafunzi akitokea nyumbani kwake.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment