Saturday, 11 March 2017

MBUNGE WA CHADEMA AOKOLEWA NA POLISI DODOMA

[​IMG]

Mbunge wa CHADEMA Kunti Majala ameokolewa na polisi huku dereva wake akipigwa na watu baada ya kupita na gari karibu na jengo la Mkutano wa CCM.

Wakati huo huo, gari aina ya ford ranger mali ya CHADEMA limekamatwa na polisi mkoani Dodoma eneo la barabara ya sita.

Gari ilo lilikuwa linapita kama magari mengine lakini likazuiwa na kuvutwa na breakdown chini ya escort ya gari la polisi na askari wengi.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment