Saturday, 11 March 2017

MAKATIBU WA CCM WANAOTAKA U-NEC WAKAGOMBEE UENYEKITI-JPM

Tokeo la picha la magufuli

Mwenyekiti wa Taifa CCM, Rais John Magufuli amewataka makatibu wa mikoa wa chama hicho wanaotaka kuingia katika vikao vya Halmashauri Kuu (Nec) ya Taifa ya chama hicho wakagombee uenyekiti.

Akizungumza leo (Jumamosi) wakati wa ufunguzi wa kikao cha Nec, Rais Magufuli amesema kuna watu wana umuhimu wa kuingia katika vikao vya Halmashauri Kuu na kwamba wakikosa kutakosekana uwakilishi .


Reactions:

0 comments:

Post a Comment