Monday, 6 March 2017

LISSU AKAMATWA NA KUACHIWA KWA DHAMANA

Tundu Lissu (kushoto) na Peter Kibatala (kulia).

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu aliyekamatwa mapema leo asubuhi ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi baada ya kuhojiwa.

Lissu amefunguliwa mashitaka ya “Kuongea lugha ya Uchochezi inayoweza kuleta machafuko ya kidini” akiwa Zanzibar.


Mbunge huyo ambaye pia ni Mwanasheria Mwandamizi wa Chadema anatakiwa kuripoti kituo cha polisi Machi 13, mwaka huu.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment