Thursday, 9 March 2017

LEMA KUHUTUBIA WANANCHI WA JIJI LA ARUSHA KESHO IJUMAA

Lema.jpg

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema anatarajia kuzungumza wananchi wa Jiji la Arusha Mjini kesho ijumaa kupitia Mkutano wa hadhara utaofanyika katika Viwanja vya Shule Shule ya msingi Ngarenaro kuanzia majira ya saa nane mpaka saa kumi na mbili wananchi wote mnakaribishwa kwenda kumsikiliza Mbunge wenu Godbless Jonathan Lema.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment