Wednesday, 15 March 2017

KUFA KUFAANA, LEMA NAYE AMPA TAFU WEMA MAHAKAMANI KISUTU


Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema leo amemsindikiza mahakamani Kisutu, msanii wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, msanii huyo anakabiliwa na kesi ya kukutwa na mihadarati.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment