Thursday, 9 March 2017

DK MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA

17201155_1390719277638153_2079050242424037434_n

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Mjini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment