Friday, 17 March 2017

DK MAGUFULI ALIPIGA CHINI AGIZO LA DK MWAKYEMBE

Tokeo la picha la Magufuli

Siku moja tu tangu Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Harrison Mwakyembe atoe agizo kuwa kuanzia Mei Mosi, mwaka huu hakuna ndoa yoyote itakayoruhusiwa kufungwa iwe ya kidini, kimila au kiserikali bila ya wahusika kuwa na cheti cha kuzaliwa,  Rais John Magufuli hii leo amefuta agizo hilo na kuwataka watanzania waendelee na utaratibu wa kufunga ndoa kama kawaida huku akisisitiza umuhimu wa kila mmoja kuwa na cheti cha kuzaliwa.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment