Wednesday, 29 March 2017

CCM YATEUA 12 KUWANI UBUNGE AFRIKA MASHARIKI


KAMATI KUU YA CCM TAIFA IMEWAPITISHA WAFUATAO KWENDA KUWANIA NAFASI YA UBUNGE WA AFRAICA MASHARIKI:

TANZANIA BARA:
WANAUME.(4)
1.DR. NGWARU
2.ADAM KIMBISA
3.MACHA
4.MAKONGORO NYERERE

WANAWAKE BARA(4)
1.ZAINABU KAWAWA
2.HAPPINESS LUGIKO
3.FANCY
4.HAPPINESS

TANZANIA ZANZIBAR
WANAWAKE (2)
1.MARIAM YAHYA
2.RADHIA AMIN

WANAUME (2)
1.ABDALAH MAKAME
2.MOHAMED NUHU


Reactions:

0 comments:

Post a Comment